Asubuhi ndio umekula hizo mbogamboga!!!?Habari wana jukwaa. Tueleze tumekula mlo gani siku ya leo?
Kwa mimi leo nilikarabati mwili kama ifuatatavyo:
Asubuhi
Ss hiko ndio kifungua kinywa?Ndio mchana nimeshuka na ndizi mhaya
Joline Kato umeamkaje dear!Ss hiko ndio kifungua kinywa?