Umekula tunda gani leo?

Ni mpaka Hawa alipokula tunda ndio akajitambua kuwa yuko uchi.

Ni muhimu sana kula matunda.
 
Mimi Kila siku nakunywa juisi ya miwa.
Asubuhi mchana na jioni..
 
Kusema ukweli huu mwak wa 4.sijwahi kuumwa ugonjwa wowote.
Uenda juisi ya miwa imenipenda.
Na ninaponunua wanajitahidi usafi
Punguza maana usafi wake ukiangalia yale mabarafu wanayoweka humo yaweza kukupa typhoid.

Heri ule miwa kama miwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…