Kama unataka kuuza au kununua chochote kati ya: gari, simu janja (smartphone), kompyuta mpakato (laptop), na "furniture" (samani za nyumbani). Njoo PM nitakuuzia au kukutafutia kulingana na bajeti yako. Hakuna gharama yoyote labda ukijisikia kunipa asante