mie nina marcopolo 2 zimeshona hadi mlangoni.
Nifuate wapi zawadi yangu?
unaongelea ma He au ma She?
wewe wajua hukumu ya ilo kosa?? Kupigwa katika pum...b.. Kwa kutumia part ya mchongoko wa kiatu cha shemej.. Du kazi kwelikweli endelea...swali lako umelielekeza kwa wa'baba or wa'mama ? Nawaulizia tu! Mi naendeleza libeneke navyutwavutwa hapa nitoe haki za wenyewe.
mi stomind kitu kwan zile naniino... Si sabuni kwamba zitaishilia zikiwa used, imani tu za kichoyo izo...ngono nje ya ndoa sio ishu, fikiria na wewe wife wako or husband wako akusariti then ukagundua utajisikiaje? Hata kama bado kuoa au kuolewa
wengine hatujaoa...just passing by
ngono nje ya ndoa sio ishu, fikiria na wewe wife wako or husband wako akusariti then ukagundua utajisikiaje? hata kama bado kuoa au kuolewa