Umelikalia

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Umeanka morning unataka kutoa pesa uliyotumiwa na babe unakuta muamala umerudishwa-- UMELIKALIA

Unataka demu lakini pesa huna -- UMELIKALIA

Unayedhani kuna mapenzi ya kweli -- UMELIKALIA

Umejikuta mataalamu wa kulamba mwiko mpaka kwenye koo umerudishia chenchi juu yake tena dagaa -- UMELIKALIA

Unatafuta kwa tabu alafu unabet -- UMELIKALIA

Unawaza kwamba unaenda mbinguni unachogo limefunikwa na wigi -- UMELIKALIA

Umetuma na ya kutolea ajaja na mundende ushingi umefunga -- UMELIKALIA

Unakunywa supu ya pweza ili uteme wazungu nusu lita -- UMELIKALIA

Kutwa kulike page za udaku mwanaume -- UMELIKALIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…