Umemaliza chuo au umeajiriwa fanya biashara zinazohusiana na baadhi ya courses zako ulizosemea chuo

Umemaliza chuo au umeajiriwa fanya biashara zinazohusiana na baadhi ya courses zako ulizosemea chuo

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kosa moja tunalifanya waajiriwa ni kukurupa kujenga nyumba Kwa mikopo huku nyumba zenyewe hazimaliziki wakati pango la nyumba tu inaweza ikawa million Kwa mwaka na ukaimudu vizuri tu.

Sisemi kwamba watu wasijenge ila kuna ushauri mbalimbali humu ndani tumeona bin heri kujipata kwanza kwenye mradi mahususi wa kutegemeka.

Sasa kuhusu chaguo la mradi Kwa wewe ambaye hujapata ajira bado na una uwezo wa kusaidiwa mtaji au uliyeajiriwa jitahidi u design biashara kutoka katika moja ya modules zako..

Kwa mfano labda chuoni ulisoma kitu kinaitwa concrete technology kama moja ya courses hata kama fani yako ni nyingine kabisa basi kama umepata mtaji wekeza kwenye kampuni ya kutengeneza tofali ama kukodisha mtambo wa tofali, zege, kuuza kokoto n.k

Mfano wa pili katika Masomo yako ulipitia ICT essentials hata kama hukuchukua fani Ya computer ila fikiria biashara ina yo relate na ICT mfano huduma za stationary, kuuza storage, accessories mbalimbali za vifaa vya ki electronics.Kwa sababu pamoja na kwamba masomo yapo kwenye cheti ila utakuwa unajiamini na kitu unachofanya na utapenda kupata info zake zaidi utajifunza.
Sio umesoma kilimo au pharmacy unakuja kutaka kununua camera upige picha.

DR HAYA LAND Ongezea neno.
 
Mwifwa Kwa mfano kununua mashine fulani sido ili kuikodisha inahitaji kichwa cha biashara?
Kama kila kitu kinawezekana kwa kila mtu mbona tungekuwa na hali nzuri bila kuwa na utofauti hasa wa kujitafuta.
 
Kujenga n uoga wa maisha kwa watumishi n bora mtu uwe mpangaji mpk pale unapostaafu ndo uanze kujenga ila kukimbilia kujenga huo n ufala na upumbavu kwa watumishi tena unajenga kwa mikopo n bora upange hata kwa mwezi laki moja unaimudu kabisa huku ukipiga business zako
 
Back
Top Bottom