KERO Umeme CHATO umekuwa ni kama anasa. Vipi huko Msoga na Kizimkazi, hali ni hii pia?

KERO Umeme CHATO umekuwa ni kama anasa. Vipi huko Msoga na Kizimkazi, hali ni hii pia?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,139
Reaction score
2,223
Suala la Umeme CHATO, imekuwa ni kama anasa vipi huko Msoga na Kizimkazi hali ni hii pia?

Kwakeli sijui Wanachato wameikosea nini Serikali hii. Adha ya umeme niliyoikuta huku ni kubwa mno, muda wowote umeme unakatwa bila kujua ni muda gani utarudi imekuwa ni kama mchezo unaweza dhani labda Vijana wa Field wamepewa Idara.

Mambo ambayo hayakuzoeleka kabisa wakati wa Magufuli sasa yanafanyika. Hata Barabara zilizowekewa Lami zinarekebishwa ila hawana mpango wa kuziwekea Lami tena sini bora waache.

Haya ni maneno ya mzee mmoja maarafu hapa kwenye kijiwe cha kahawa akilalamika. Nawatakieni Jioni Njema wakazi wa kizimkazi na Msoga

Safarini kuelekea burundi
 
Chato awamu ya jiwe mmekula bata Sana😁
 
Back
Top Bottom