Hello JF
Mmeshuhudia kutokuwepo umeme kulivyoleta tafrani
Unlike other countries nchi yetu imebarikiwa na Jua most of the time of the year...
Sijui kiundani kuhusu umeme wa jua (solar power/system) ila tunaweza kutumia jua ambalo liko free...just incase...
Kutokua na umeme kuna athiri city vingi,its time serikali I invest kwenye alternatives
When it comes to risk management, most government officials tend to take the reactive approach, being proactive is against their modus operandi 🐒I wish to believe that there were early warnings issued towards the changes in the weather pattern in October by TMA towards December.
Perhaps it would have been very ideal to react and prepare for scenarios such as these...{?}
Tunajenga Stigglers Gorge!Hello JF
Mmeshuhudia kutokuwepo umeme kulivyoleta tafrani
Unlike other countries nchi yetu imebarikiwa na Jua most of the time of the year...
Sijui kiundani kuhusu umeme wa jua (solar power/system) ila tunaweza kutumia jua ambalo liko free...just incase...
Kutokua na umeme kuna athiri vitu vingi,its time serikali I invest kwenye alternatives
China wamefanikiwa hili maana wamefunga solar panels jangwani sijui wana u store vipi ule umeme.Umeme wa Jua ndio long term solution juu ya kuwa na sustainable energy nchini na duniani.
pia jua linaweza kuzalisha umeme wa kutosha kufeed dunia nzima.
Now tatizo linakuja juu ya jinsi gani tutaweza kustore umeme wa jua wa kutosha kama nchi kuweza kufeed nchi nzima continuously, sababu kwa teknolojia ya betri right now ni ngumu kufanya kitu kama hicho na gharama zinaweza kuwa za kutisha kufanya matengenezo na ubadirishaji wa betri kila mwaka kutokana na uchumi wetu.
Hili tatizo la betri ndio kikwazo cha dunia kushindwa kutumia umeme wa jua kama main source of energy lakini wenye akili wanahangaika kutafuta solution right now.
Now good solution ni hii.
Sijui tatizo linalosababisha umeme kukatika sasa hivi ni nini, lakini serikali itabidi kutumia Solar Energy kama Backup gharama hazitakuwa kubwa sababu utakuwa ukitumika only in emergency lakini tatizo litakuwa limetatuliwa.
Hii solution inaworth a shot kama matatizo na hasara za kukatika kwa umeme mara kwa mara nchini ni severe na critical kwa taifa.
HahahaDont die in the process...LOL
Hapa ndio wengi tulionekana sio wazalendo kupinga bwawa kabla ya kuimarisha Kinyerezi Plant.bomba la gesi lenyewe linatumika only 6% ya capacity, hakukua na haja ya kuhangaika na bwawa la nyerere zile hela zingejenga gas powerplants nyingi tuu kuliko huo ujinga ambao mwenda zake aliufanya huku anaacha mitambo ya gesi inazeeka wakat haijanufaisha nchi vya kutosha.