Umeme kukatika baada ya Mkutano wa nishati kuisha inamaanisha nini?

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
2,805
Reaction score
3,640
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
 
Tunaendelea na kazi ya kutengeneza miundo mbinu...
 
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Maana yake ulikuwa mkutano wa kisanii
 
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Africa full vituko mkutano wakuunganisha watu mil 300 umeme alafu ukakata
 
Tushalivua koti wageni wameondoka. Hivi Mkuu anajua kwamba umeme na.maji hapa dsm ni tatizo na sio vya uhakika.
Au mpaka Chalamila amuambie ndio atasikia.
 
Hahahah!! Itakua wameuza wote kama mnavyo uza Bandari za Tanganyika.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Maana yake ni we still have long way to go. Niliwahi kushuhudia jamaa mmoja anampigia mwenzake aliyeko kwenye substation kuwa oya washa mtaa fulani basi nataka ninyoe kweli umeme ukaludi jamaa akanyoa hadi akamaliza wakacheki na mechi ndo wakaamua tena kuzima umeme .
 
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Mitambo inapumzishwa kidogo baada ya kupiga kazi ya ziada (over time)
 
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Ina maanisha punguzeni HASHUO .Tanganyika hamko serous ktk suala la ENERGY wala hamulijui maana yake .Chukuweni TIPS from as a GOV.Namuomba Raisi afanye mambo haya ktk kipindi chake cha miaka 5 na kila Raisi afanye hivyo.FULL BURGET INAKWENDA HUKO.
SERIKALI FANYA HAYA.
A*A*A* TECHNOLOGY AND SCIENCE.
1-2025 Ni mwaka wa UMEME na MAJI.(Huwezi kuwa na Maendeleo kama huna hii ENERGY)
2-2026 Ni mwaka Barabara na Wakulima (Huwezi kuuza mazao yako kama huna Barabara safi)
3-2027 Ni Mwaka wa Afya na Elimu ( Huwezi kuwa elimu bora bila ya kuwa na afya)
4-2028 Ni mwaka wa Viwanda na Port(Unazalisha na kusafirisha)
Dubai isenguwa Dubai kama haina vitu hivo.
 
Yeyote tunayamlipa mshahara kupitia kodi.zetu.aje na maelezo maji na.umeme hapa dsm vimekuwa si vya uhakika.

Na hizi barabara zinazojengwa za brt mbona kama hazitaondoa foleni zimezidisha foleni na usumbufu mkubwa.

Wenye nchi mnaona adha wananchi yunayopata
 
Back
Top Bottom