Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Mkutano umeisha , wanarudi kwenye uhalisiaLeo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Maana yake ulikuwa mkutano wa kisaniiLeo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Africa full vituko mkutano wakuunganisha watu mil 300 umeme alafu ukakataLeo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Maana yake ni we still have long way to go. Niliwahi kushuhudia jamaa mmoja anampigia mwenzake aliyeko kwenye substation kuwa oya washa mtaa fulani basi nataka ninyoe kweli umeme ukaludi jamaa akanyoa hadi akamaliza wakacheki na mechi ndo wakaamua tena kuzima umeme .Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Mitambo inapumzishwa kidogo baada ya kupiga kazi ya ziada (over time)Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Ina maanisha punguzeni HASHUO .Tanganyika hamko serous ktk suala la ENERGY wala hamulijui maana yake .Chukuweni TIPS from as a GOV.Namuomba Raisi afanye mambo haya ktk kipindi chake cha miaka 5 na kila Raisi afanye hivyo.FULL BURGET INAKWENDA HUKO.Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Halafu akafunga umemeMama amefungua nchi