U ubarinolutu JF-Expert Member Joined Oct 22, 2012 Posts 2,424 Reaction score 4,954 Sep 12, 2022 #1 TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta.
TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta.
UMUGHAKA JF-Expert Member Joined Sep 1, 2021 Posts 2,753 Reaction score 12,932 Sep 12, 2022 #2 ubarinolutu said: TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta. Click to expand... Mabwawa yamekauka
ubarinolutu said: TANESCO tujuzeni, kila mkoa ukiuliza nini shida mbona umeme unakatika sana kipindi hiki, wanasema "Lodi shedingi". Wizara toeni kauli tukanunue jenereta. Click to expand... Mabwawa yamekauka
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Sep 12, 2022 #3 Umetumia takribani ya luku yako