Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Yaani wewe majibu unayo halafu unakuja kuulizaHabari wakuu,
Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme.
Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na ukutani. Ila kwa 'floor' ya juu, hakutakuwa na shida utapita juu/darini na ukutani.
Napendelea kuweka sakafu ya tarazo, ila hofu yangu ni huu umeme nilioupitisha chini/ sakafuni.
Swali; hauwezi kuja kuleta madhara pale mfumo utakapohitajika kwa marekebisho? Kama yatakuwepo, ni nini kifanyike kwa sasa?
Haina madhara. Kwanza hayo marekebisho kuhitajika ni zaidi ya miaka 30 ijayo.Habari wakuu,
Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme.
Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na ukutani. Ila kwa 'floor' ya juu, hakutakuwa na shida utapita juu/darini na ukutani.
Napendelea kuweka sakafu ya tarazo, ila hofu yangu ni huu umeme nilioupitisha chini/ sakafuni.
Swali; hauwezi kuja kuleta madhara pale mfumo utakapohitajika kwa marekebisho? Kama yatakuwepo, ni nini kifanyike kwa sasa?
Kama wakati wa kuweka waya zilikuwa ni nzuri na imara haina neno ila kama utakuwa uliwekaga waya za kichina tegemea kufanya marekebisho uko baadae....Kiushauri zaidi waya za ground unapoweka jitahidi sana kuweka na spare waya kama mbili ama moja kwa dharuraHabari wakuu,
Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme.
Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na ukutani. Ila kwa 'floor' ya juu, hakutakuwa na shida utapita juu/darini na ukutani.
Napendelea kuweka sakafu ya tarazo, ila hofu yangu ni huu umeme nilioupitisha chini/ sakafuni.
Swali; hauwezi kuja kuleta madhara pale mfumo utakapohitajika kwa marekebisho? Kama yatakuwepo, ni nini kifanyike kwa sasa?
Unamaanisha kwenye 'conduit' ndio tuweke waya za ziada?Kama wakati wa kuweka waya zilikuwa ni nzuri na imara haina neno ila kama utakuwa uliwekaga waya za kichina tegemea kufanya marekebisho uko baadae....Kiushauri zaidi waya za ground unapoweka jitahidi sana kuweka na spare waya kama mbili ama moja kwa dharura
Kama ni kwa miaka yote hiyo; naona hakuna tatizo.Haina madhara. Kwanza hayo marekebisho kuhitajika ni zaidi ya miaka 30 ijayo.
ndivyo inavyotakiwaUnamaanisha kwenye 'conduit' ndio tuweke waya za ziada?
Nimeweka hizi conduit nyeupe, tumeshazichimbia kwenye sakafu ya rafu; tukijiandaa na zoezi la kuweka nyaya; kama haitakuja kusumbua huko mbeleni kwa matengenezo, itakuwa vizuri zaidi.Pitisha kwenye conduit ngumu
Zitafanya kaz bila ya shida
Marekebisho yatafanyika tu mkuu
Kuna vifaa maalumu
kuwa nyeupe bomba sio tatizo,bomba nyeupe zipo grade kama tatu,wewe waambie tu watu unataka bomba za ZegeNimeweka hizi conduit nyeupe, tumeshazichimbia kwenye sakafu ya rafu; tukijiandaa na zoezi la kuweka nyaya; kama haitakuja kusumbua huko mbeleni kwa matengenezo, itakuwa vizuri zaidi.
Hapo nimekuelewa mkuukuwa nyeupe bomba sio tatizo,bomba nyeupe zipo grade kama tatu,wewe waambie tu watu unataka bomba za Zege
na hapo jitahidi usikose snake waya kwa ajili ya kuvutia wayaHapo nimekuelewa mkuu