jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,342 Mar 1, 2015 #1 Toka jana mchana umeme haununuliki kwa wale wanaolipa kabla hawajatumia Luku. Tunaambiwa kuna tatizo la network, jibu rahisi kabisa. Foleni kwenye vituo vya kuuzia Luku ni kubwa kila mahali. Wapi haki ya mlaji. Nawasilisha jukwaani
Toka jana mchana umeme haununuliki kwa wale wanaolipa kabla hawajatumia Luku. Tunaambiwa kuna tatizo la network, jibu rahisi kabisa. Foleni kwenye vituo vya kuuzia Luku ni kubwa kila mahali. Wapi haki ya mlaji. Nawasilisha jukwaani