Umeme mwanza, wawaka 24hrs

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
katika hali ya kushangaza, maeneo baadhi ya jiji la mwanza umeme umewaka kwa zaidi ya 24hrs bili hata kukatika. Ilikuwa ni juzi umeme ulikatika, ulirejea majira ya saa sita na haukukatika mpaka sasa.

Kwa jinsi walivyozoea wananchi kuna wengine walifunga biashara zao mapema kwa kuamini umeme utakatika baada ya mda mfupi kwani walishinda na umeme. Mazoea kweli yana taabu.

Source: Direct observation and experience (primary data).
 
mmh, wapi huko cos mtaani kwe2 umeme mgao upo daily ukiwaka haipiti cku hawajakata.
 
Unashangaa nini na wewe Haki yao kama wananchi wa Tanzania kupata huduma ya nishati ya umeme kwani wameilipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…