Jangili La Kimataifa Member Joined Jun 13, 2024 Posts 8 Reaction score 7 Dec 6, 2024 #1 Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi π€
Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi π€
F FAQ JF-Expert Member Joined Nov 10, 2024 Posts 415 Reaction score 1,311 Dec 6, 2024 #2 Ukitaka kupata raha ya kukatika basi ukatikiwe huku mvua inanyesha
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Dec 6, 2024 #3 Jangili La Kimataifa said: Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi π€ Click to expand... Yaelekea wewe siyo mtoto wa 2000+ maana watoto wa kizazi hiki cha joka hupenda kusema "umeme umekata" Hongera!
Jangili La Kimataifa said: Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi π€ Click to expand... Yaelekea wewe siyo mtoto wa 2000+ maana watoto wa kizazi hiki cha joka hupenda kusema "umeme umekata" Hongera!