Umeme na Nishati - Kenya

Kwa lugha ya kisanyansi wanaziita radioisotope generator or radioisotope battery Mzee
Mzee hizo nuclear battery nazijua zinatumika miaka nenda uje. Radioactive material zinakuwa zina decay. But huwa zinatoa power ndogo mno.
 
We jamaa ndio maana nasema unaishi kwenye fantasy world.

Device unazosema zinatumia nuclear battery ni Voyager 1 and Voyager 2. Zinatumia Plutonium. Those are not heavy devices Mzee.

Launching zake from earth zilitumia fossil fuel. Yaani Rocket zilitumia fossil fuel kwa sababu zinahitaji thrust kubwa kwa muda mfupi. Huko juu sasa hakuna gravitational vinaenda tu.

Mzee kwenye sayansi ni Nyumbani kwangu.
 
Mkuu energy density ndogo kumove vitu vizito kama kulaunch satellites , space shuttles na mitambo mizito (heavy duties) za exploration ya mwezini ? Tani za kutosha , hebu Acha masikhara
Mzee launching of satellite!? Mzee satellite huwa inabebwa na na Rocket toka dunia mpaka kwenye orbit.
Mzee Nitajie rocket hiyo iliyotumia nuclear battery during launching.
 
I don't have anything to say about paper. Hata mimi hapa ninaandika paper kuhusu dark matter energy.

Hivi unajua kwanini mpaka sasa Elon Musk anahangaika namna ya kweda mars!?
 
Na inasemekana project hii ikisha na production ikaanza ya hizo batteries wanasema running cost yake utakuwa ndogo Sana kuliko ya diesel engines / any other fossil fuels hence utakuwa viable economically kutumiwa kuendesha heavy duty marine vessels kama ships
 
I don't have anything to say about paper. Hata mimi hapa ninaandika paper kuhusu dark matter energy.

Hivi unajua kwanini mpaka sasa Elon Musk anahangaika namna ya kweda mars!?
Naelewa Ila challenges zipo kwenye lolote Ila reseach zinafanyika watu wanaumiza vichwa kila siku na soon wanatoka na breakthrough hata kama umesoma hiyo article hapo utakuwa umeelewa na tumeelewana .
 
Mzee unapoongelea battery unajua maana yake!?
Risk za Nuclear ni kubwa ukilinganisha na matokeo yake.

Rocket ya Elon Musk ilidondoka wakati wa majaribio. Itakuwaje When Nuclear powered Rocket itadondoka!?

Nadhani hivi vitu vya Nuclear unavisikia tu Mzee.
 
I don't have anything to say about paper. Hata mimi hapa ninaandika paper kuhusu dark matter energy.

Hivi unajua kwanini mpaka sasa Elon Musk anahangaika namna ya kweda mars!?
Wanaume wako mzigoni huko wanaumiza vichwa na kutoboka mifuko kugharimikia hii kitu trust me the breakthrough in civil and cargo marines decarbonisation is on the horizon
 
Naelewa Ila challenges zipo kwenye lolote Ila reseach zinafanyika watu wanaumiza vichwa kila siku na soon wanatoka na breakthrough hata kama umesoma hiyo article hapo utakuwa umeelewa na tumeelewana .
Basi poa. Nimependa kwa sababu unaongea na umejitahidi kujadili kwa evidences
 
Risk zingine zinajulikana Mzee!? Kwanini ujiingize kwenye tatizo unalolijua risk zake!?
We are not talking about if problem will happen, but we are talking about When.
 
Hata mimi nipo mzigoni Mzee ninaandika paper kuhusu energy.
Trust me kuna kitu hawa mabeberu wametuzidi , wakiamua kitu hawashindwi we subiri mark this comment , kuna siku tutarudi hapa kutoa ushuhuda .
These people have guts and perseverance even if it means working on something for 1000 years . Ukiangalia zile projects za miaka ya 50 zilizoshindwa lakini kumbe njemba bado zipo maabara zinashughulika .
 
Risk zingine zinajulikana Mzee!? Kwanini ujiingize kwenye tatizo unalolijua risk zake!?
We are not talking about if problem will happen, but we are talking about When.
Trust me kuna kitu hawa mabeberu wametuzidi , wakiamua kitu hawashindwi we subiri mark this comment , kuna siku tutarudi hapa kutoa ushuhuda .
These people have guts and perseverance even if it means working on something for 1000 years . Ukiangalia zile projects za miaka ya 50 zilizoshindwa lakini kumbe njemba bado zipo maabara zinashughulika .
 
Duh!! Hatari sasa. Inamaana huniamini mimi kuwa ninaumiza kichwa kuja na permanent solution kuhusu Energy.

Ninakupa muda mfupi tu nakamilisha Kazi yangu. Utakuja kutoa ushuhuda mwenyewe. Nakuletea Dark Energy.
 
Risk zingine zinajulikana Mzee!? Kwanini ujiingize kwenye tatizo unalolijua risk zake!?
We are not talking about if problem will happen, but we are talking about When.
Economy of scale na environmental risks ndio challenges kubwa zilizokuwa zinahinder hii kitu Ila Kwa sasa mwanga upo na possibilities za marine decarbonisation ni kubwa
 
Mzee mimi ninakuja na permanent.
 
Wewe utainvent dark energy ya ungo WA kuruka kama Wale wchawi WA sumbawanga -Tanzania
Sasa huniamini!? Au hutaki!?
Subiri paper yangu naimalizia 2023 mtaanza kutumia Technology yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…