BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Sasa kwa nini tuende kwenye tides ilhali tuna solar na wind ambazo ziko kwa wingi na ni cheaper than tidal? Hakuna haja ya kuruka ruka na kukimbilia exotic technologies ilhali tumeshindwa kutap into wind and solar ambazo ziko freely available and cheaper. Kama Solar imeshinda nchi nyingi za Afrika kuinstall nini inakudanganya kwamba tutafanikiwa kwenye tidal?Hivi mbona Africa bado hatuna explore Tidal energy , tuna Maziwa na bahari ambazo ni resources kubwa katika uzalishaji WA nishati ya umeme Kwa kutumia mawimbi ya maji
Umeme wa maji pia ni green. Halafu mnahitaji diversify energy sources zenu. Marekani sasa hivi wanapitia drought na mabwawa yao yamekaukaUkizingatia emphasis kuanzia Marekani mpaka Europe , uliwengu mzima green energy ndio habari ya mjini UN is putting more pressure on this , tusome nyakati wazee sio kuwa static Tu na kukariri umeme WA maji wakati mabadiliko ya Hali ya hewa ni evidently , unaweza matrillion ambayo in the short period of time will be useless , drought inakamua maji na soon hayo mabwawa mnayojenga hayatakuwa na maji sio sustainable .
Green energy kama wind , Solar , Geothermal , Nuclear , Tidal waves energy ndio ziwekewe attention kubwa
New sources of energy zinavumbuliwa kila wakati. Wacha ushamba nawe.Mzee mimi huwa sipendi kuongea vitu bila evidences.
Hebu weka hapa statistics za hiyo Tidal energy.
Ni TW ngapi zinazalishwa dunia kwa sasa!?
View attachment 1819838
Mzee unajua Law of conservation of Energy!?New sources of energy zinavumbuliwa kila wakati. Wacha ushamba nawe.
Kenya hawana kiswahili.Stima ni kiswahili cha Kenya. Usilazimishe tufanane. Kama vile neno "Wamachinga" ni neno la kiswahili la Kitanzania na halipo Kenya.
Wapi nimesema energy inakuwa created? Nimesema new Sources of energy zinavumbuliwa kila wakati. Usinione mjinga. Nilisoma physics miaka minne high school na hakuna somo lolote ambalo nilipata C. Solar is a source of energy just like wind or geothermal. Jifunze maana ya neno sources of energy kwanza ndio uje hapa. Kama hujui sema ufundishwe. Nani hajui kwamba energy haiwezi kuwa created or destroyed? Hata mtoto mdogo anajua hiloMzee unajua Law of conservation of Energy!?
Energy can be transformed from one state to another, but not be created or destroyed.
Ngoja nikupatie somo kidogo la energy.
Kinetic energy, Chemical energy, heat energy etc can be transformed to electric energy. Sasa issue zinazotokea ni:-
1. Je, mpaka unazalisha umeme investment yake ni kiasi gani!?
2. Kunakuwa energy nyingine inakuwa transformed kwenda kwenye aina nyingine ya energy so product ya Electric energy inakuwa ndogo.
3. Source za energy zingine bado zipo kwenye majaribio. Ni watu wa academics wanafanyia majario kuonesha namna umeme unavyopatika, but not for serious project.
NB: Hata wewe hapo home unaweza ukazalisha umeme kwa kutumia any mode of energy. But utatumia nguvu kubwa kuzalisha umeme mdogo.
Keysentense: Nguvu kubwa, Umeme kidogo.
Unaposoma comments za mtu mwenye uelewa mpana kama mimi jifunze kusoma btn lines. Usikurupuke kujibu comments za Great Thinker.Wapi nimesema energy inakuwa created? Nimesema new Sources of energy zinavumbuliwa kila wakati. Usinione mjinga. Nilisoma physics miaka minne high school na hakuna somo lolote ambalo nilipata C. Solar is a source of energy just like wind or geothermal. Jifunze maana ya neno sources of energy kwanza ndio uje hapa. Kama hujui sema ufundishwe. Nani hajui kwamba energy haiwezi kuwa created or destroyed? Hata mtoto mdogo anajua hilo
View attachment 1820119
What is energy?Sources of energy
Most of our energy is nonrenewable
In the United States and many other countries, most energy sources for doing work are nonrenewable energy sources:
These energy sources are called nonrenewable because their supplies are limited to the amounts that we can mine or extract from the earth. Coal, natural gas, and petroleum formed over thousands of years from the buried remains of ancient sea plants and animals that lived millions of years ago. That is why we also call those energy sources fossil fuels
Mzee hebu ondoa basi, ndoto za mchana. Hivi kati fossil fuel, Hydrogen fuel na Nuclear ipi yenya madhara makubwa kwenye climatic change!?Hata hizo meli zenyewe nchi za Marekani na Europe wako mbioni kupiga total ban ya matumizi ya mafuta kwenye fleet ships , nuclear itatumika na si mafuta , ni Kuda mwafaka tungejikita katika kudevelop migodi yetu ya uchimbaji w Uranium na kufund exploration projects za hii kitu , ni muhimu Sana siku za mbeleni
Mzee matumizi ya fossil yatapungua, but siyo kwa kutumia Nuclear.Huwezi pingana na changes , better uondoe fossil fuel kwenye akili yako , miaka michache ijayo fossil fuel matumizi yake yatapungua sana labda kama hujui ulimwengu unapoelekea
Hivi tunapoongelea nuclear unajua tunaongelea nini!?Fossil fuel ni big contributor WA environmental pollution kuliko hizo nucler do your reseach
Mzee mbona unaruka ruka. Nimesoma hiyo study mwanzo mpaka mwisho. Hakuna sehemu wameleta alternative ya fossil. Hakuna sehemu wamelezea nuclear.MAN study: Fossil fuels use in shipping should be banned by 2030 - Offshore Energy
Wenye technology zao wamesema wewe ni Nani
Mzee usitake kuorodhesha vitu. Nataka uniletee wapi wamesema matumizi ya Nuclear kwenye Marine Transportation!?Ndio nimekwambia the aim is zero carbon emissions ambazo zinasababisha matatizo makubwa ya kimazingira kama global warming , drought , climate changes , submergence of Islands kutokana na kuyeyuka Kwa barafu na kuongezeka Kwa level ya maji baharini , frequently wild fires kama ilivyotokea Australia na Carifornia , air pollution inayosababisha respiratory complications , the list goes on and on sasa wewe unabisha nini sijui
Ngoja nikupatie somo sasa la Nuclear Physics.Eti global warming we unajua maana ya[emoji2956] global warming Mzee ? , Acha ubishi usio na maana , hebu eleza jinsi nuclear energy inaleta global warming ?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hapa unaanza kuongelea pikipiki!? Mzee umechanganyikiwa nini!? Pikipiki unataka kulinganisha na Ship!?Acha kukaza ubongo wewe , alternative zipo nyingi instead of fossil fuels kuna magari , pikipiki na items zinazotumia umeme na si fossil fuels
Ona sasa unakoelekea Mzee. Ninachotaka unieleze Nuclear itatumikaje kuendesha ship!?Wewe unaongelea nuclear physics ya elementary school Mimi ni Electrical engineer , Wewe unajua jinsi nuclear fission inatokea kwenye mazingira gani ?, Unaongea na mtaalamu hapa si layman
Tunaiita umeme, ila watu wengi washazoea stima ✌️Stima ni kingereza au kiswahili? Na kawi je? Ni nini huko Kenya