Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe...
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe. Rais. Kwa hali inayoendelea sasa katika maeneo haya hususani vijiji vya SAZA, PATAMELA, MWEMBENI na kwingineko tunaathirika sana sisi Wachimbaji. Tunatambua jitihada zako katika kutuinua Wachimbaji wadogo, kwenye hili la Umeme Mhe. Rais tunaomba sana utusaidie kupata umeme wa uhakika.
Habari, Ndugu Mteja.Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe. Rais. Kwa hali inayoendelea sasa katika maeneo haya hususani vijiji vya SAZA, PATAMELA, MWEMBENI na kwingineko tunaathirika sana sisi Wachimbaji. Tunatambua jitihada zako katika kutuinua Wachimbaji wadogo, kwenye hili la Umeme Mhe. Rais tunaomba sana utusaidie kupata umeme wa uhakika.
TANESCO
Habari ndugu mteja, Tunaomba radhi sana kwa changamoto ya kukosekana kwa umeme katika maeneo ya Chunya na kwa usumbufu unaoendelea kujitokeza.Chunya nzima umeme hakuna, unarudi usiku tuu na ukiwa hauna nguvu ya kuendesha mitambo, achilia mitambo hata motor Moja tuu ya crusher nayo inakua ngumu.
Tafadhari mtusaidie sana kuhusu hili suala maana ninapoandika hapa umeme hakuna pia.
Umeme bwawa la Mwalimu Nyerere haujafika huko kwenu?Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe. Rais. Kwa hali inayoendelea sasa katika maeneo haya hususani vijiji vya SAZA, PATAMELA, MWEMBENI na kwingineko tunaathirika sana sisi Wachimbaji. Tunatambua jitihada zako katika kutuinua Wachimbaji wadogo, kwenye hili la Umeme Mhe. Rais tunaomba sana utusaidie kupata umeme wa uhakika.
TANESCO
UFAFANUZI WA TANESCO HUU HAPA CHINI...
KERO Responded Post in thread 'Umeme ni kitanzi kwa wachimbaji Songwe'
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe...
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe. Rais. Kwa hali inayoendelea sasa katika maeneo haya hususani vijiji vya SAZA, PATAMELA, MWEMBENI na kwingineko tunaathirika sana sisi Wachimbaji. Tunatambua jitihada zako katika kutuinua Wachimbaji wadogo, kwenye hili la Umeme Mhe. Rais tunaomba sana utusaidie kupata umeme wa uhakika.
TANESCO
UFAFANUZI WA TANESCO HUU HAPA CHINI...
KERO Responded Post in thread 'Umeme ni kitanzi kwa wachimbaji Songwe'
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kukujulisha Mhe. Rais wetu mpendwa, Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Wachimbaji wa Songwe tunapata changamoto kubwa sana ya kukatika kwa umeme na low voltage kiasi cha kushindwa kabisa kufanya uzalishaji wa Dhahabu. Vile vile, kukatika kwa umeme na low voltage kunasababisha kuungua kwa mitambo ya uzalishani na hakuna fidia tunayopata. Mfano katika kijiji cha Saza kwa kipindi cha Wiki mbili zilizopita zaidi ya motor 20 na vifaa vingine vyenye thamani ya Mamilioni ya fedha vimeungua. Hii inabaki kuwa hasara kwa Wachimbaji.
Kwetu sisi umeme ni kila kitu Mhe...
Habari, Wateja Wetu.TANESCO MNAZINGUA
Wakuu TANESCOHabari ndugu mteja, Tunaomba radhi sana kwa changamoto ya kukosekana kwa umeme katika maeneo ya Chunya na kwa usumbufu unaoendelea kujitokeza.
Tafadhali fahamu kuwa taarifa yako tumeipokea na tutawasilisha kwa wataalamu wetu husika kwa ajili ya kufuatiliwa na kushughulikiwa. Tunaomba uvumilivu na ushirikiano wako wakati hatua stahiki zikichukuliwa kurejesha na kuboresha huduma ya umeme katika eneo lako. Asante. ^PK
Wakuu TANESCOMajibu ya Tanesco kuhusu hali ya umeme wilaya ya Chunya, anayeweza kuyaelewa na kukubaliana nayo , atakuwa hana akili timamu
Habari, Ndugu Mteja, na asante kwa mrejesho wako.Wakuu TANESCO
Asante sana, naona mmefanya marekebisho na Leo ni siku ya tatu mfululizo tunapata umeme wa uhakika.
Nawapa big up💪 and thumb up👍. Hii ndio maana sahihi ya kutuangazia.
Tuendelea hivi katika kuijenga nchi yetu.
Habari, ndugu mteja.Wakuu TANESCO
Leo nimewapa maua yenu Cha ajabu ndio mmekata umeme, tafadhali muwe mnatujulisha bhasi kama mtakata.
Hapa simu yangu inazima chaji.
Habari, ndugu mteja.Majibu ya Tanesco kuhusu hali ya umeme wilaya ya Chunya, anayeweza kuyaelewa na kukubaliana nayo , atakuwa hana akili timamu
Hali ya Chunya inafahamika, na tunaelezwa kuwa suala hili linaendelea kushughulikiwa na wataalamu wetu.Habari, ndugu mteja.
Asante kwa ujumbe wako, na pole kwa mtazamo huu. Hali ya Chunya inafahamika na inashughulikiwa na wataalamu wetu. Ratiba ya matengenezo imetolewa pia, ili wateja wawe na taarifa kuhusu kinachoendelea.
Asante. ^FL