Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nchi nzima kama sikosei.Hali ya upatikanji wa umeme mkoa wa Kilimanjaro imekuwa changamoto kubwa sana, kwa siku umeme unaweza kukatika zaidi ya mara tatu, siku nyingne umeme unakatika zaidi ya masaa 16. Mkoani kwako hali ipoje?
Pole yao sana... Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Ni kweli mkuu...Hali ya upatikanji wa umeme mkoa wa Kilimanjaro imekuwa changamoto kubwa sana, kwa siku umeme unaweza kukatika zaidi ya mara tatu, siku nyingne umeme unakatika zaidi ya masaa 16. Mkoani kwako hali ipoje?
Tuseme tu serikali maana shirika ni la serikali.Sijui tumelikosea nini hili shirika