A
Anonymous
Guest
Umeme umekuwa na tatizo kubwa sana Maeneo ya Mbezi na Kimara umekuwa unakatika na kurudi mara kwa mara, na kuna muda unarudi unawasha taa tu, hauwashi hata Fridge wala AC kwa kuwa unajua kinaweza kunuka muda wowote.
Pia kuna wakati unakuja unawasha baadhi vya vyumba na Floor pengine hapawaki na Luku zinaji-trigger sana, Mara wanakata tena na kurudisha. Ukipigia hawaji wanasema ni tatizo la kiufundi ila utatuunguzia Vifaa vyetu haueleweki kabisa.
Tatizo hilo limeanza Jumatano ya mwisho wa Mwezi wa 10 hadi leo hii.
Mbona TANESCO hawasemi chochote! Hali hii inavyoendelea inaweza kusababisha madhara kwa vitu na mali kuungua, pia ni mbaya kwa Wafanyabiashara ambao wanategemea umeme na hawana taarifa sahihi juu ya kinachoendelea.