A adelinus Member Joined Jan 22, 2018 Posts 9 Reaction score 5 Jan 31, 2018 #1 Je TANESCO wakiwa wamepitisha nyaya zao katika kiwanja chako pale unapotaka wakupishe kuna gharama nitaingia mimi kama mmiliki wa kiwanja? Naomba jibu
Je TANESCO wakiwa wamepitisha nyaya zao katika kiwanja chako pale unapotaka wakupishe kuna gharama nitaingia mimi kama mmiliki wa kiwanja? Naomba jibu
M Mwakyeja JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 675 Reaction score 454 Jan 31, 2018 #2 Pesa hiyo kama Umetangulia kambla ya ya ramani ya kupita kwa umeme