Richardsoneddo
New Member
- Jul 5, 2024
- 2
- 1
Nashangazwa sana na utendaji wa Tanesco, nilikuwa nakaa Dodoma umeme ulikuwa haukatiki ovyo ila maisha ya kule ni gharama sana nikamua nihamie Vikindu Vianzi kupata unafuu wa maisha na kujiendeleza kibishara kwa kutumia umeme. Cha ajabu tangia nihamie nina miezi miezi mitatu ila sijawahi kukaa siku 2 bila umeme kukatika. Pia kwa siku hata mara 6 unaweza kukatika
Inanifikirisha sana, nitawezaje kujiendeleza kwa kutumia umeme na umri unaenda?
Naomba mamlaka husika zitekeleze majumu yao wananchi, tunaangamia na kushindwa kujiendeleza.
Inanifikirisha sana, nitawezaje kujiendeleza kwa kutumia umeme na umri unaenda?
Naomba mamlaka husika zitekeleze majumu yao wananchi, tunaangamia na kushindwa kujiendeleza.