Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu mtaalam mmoja anisaidie. Ninauziwa kifaa cha kuumulia mikate (proofer) hapa USA. Kwa umeme wa kitanzania wa 220v-240V mashine hii ya 110v-208v itafanya kazi?
Ni kweli anunue tu kisha nunua na step down regulator/adaptor utatumia kama kawaida.hapa bongo kutengeneza/kuunda vifaa kama hivyo mgumu lkn wanaweza sasa ku-step down voltage, so we nunua tu!!