Ebu mtaalam mmoja anisaidie. Ninauziwa kifaa cha kuumulia mikate (proofer) hapa USA. Kwa umeme wa kitanzania wa 220v-240V mashine hii ya 110v-208v itafanya kazi?
Ebu mtaalam mmoja anisaidie. Ninauziwa kifaa cha kuumulia mikate (proofer) hapa USA. Kwa umeme wa kitanzania wa 220v-240V mashine hii ya 110v-208v itafanya kazi?
Iangalie mashine yako vizuri, kama ina options ya 110v na 208v, itaweza kufanya kazi. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua option ya 208v ktk mashine yako.
Kama hiyo ni range, yaani 110v up to 208v inclusive, pia inaweza kufanya kazi kwani kwa bongo nadhani (sina uhakika sana) rate i 200v-250v for domestic uses.