Umeme wa Magari

resonanceiduufu

Senior Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
112
Reaction score
62
Nimemaliza Diploma ya Magari, (Automotive Engineering) Ila natamani sana kuendelea kupanua zaidi ujuzi kwenye ufundi wa umeme wa magari!

Nipo Dar es Salaam Temeke Keko juu, tafadhali kama kuna fundi wa Umeme wa magari, nijulishe ili tushirikiane pamoja, hata kwa kumlipa niko tayari!

Theory ya umeme wa magari niko vizuri, ila natamani kufanya kwa vitendo zaidi coz ujuzi haukui bila kugusa!

ASANTENI!
 
Bro, Nadhani ingekuwa poa kwa wewe kwenda kwenye garage unayoona utafit then uombe ufanye kazi hapo.

Kuwa huru, waeleze purpose yako. Wakikubali sawa, wasipokubali look for another alternative.

Watanzania sisi Mungu ametujaalia upendo na huruma flani hivi ambayo hata huwa hatuitarajii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…