Jiko la umeme linatumia umeme mkubwa sana then na pasi nayo so gharama yake inakua kubwa zaidi ambayo ni sh. milion 10
Solar ya kukudhi nyumba ya vyumba 3, matumizi ya fridge, jiko la umeme na kunyosha pasi mnafanya kiasi gani? Nipo Dar
Jaribu kuangalia umuhimu wa matumizi ya umeme na nini kinaweza kukupunguzia gharama za umeme huo hada jioko la umeme ambalo unaweza kuwa na jiko la gas ambalo gharama ni nafuu zaidi kuliko la umeme.
Binafsi naona umeme huu wa solar ni mzuri kwa taa, TV/radio, pamoja na friji. mambo mengine ni kuingia gharama zinazoweza kuepukika.
Nashukuru kwa ushauri wako, sasa ukitumia kwa taa, TV/Radio na fridge itakuwa cost shilingi ngapi?
NItafanuyia utafiti lakini ukitaka kwa gharama nafuu bora fanya utafiti na nunua vifaa kisha fundi akufungie, lakini hawa wanao tangaza huongeza bei mara dufu. ukweli bei za solar panel ni gharama ndogo ukilinganisha na bei za haya makampuni/
Ahsante
umepewa ushauri mzuri lakin naomba nikupe ushauri mzuri zaidi ni kwamba sisi kama kampuni lengo letu ni kukuwezesha kupata umeme na kukushauri pia, kuhusu gharama lisikuumize kichwa unaweza fanya survey na ukanunua kama alivyokushauri then ukatafuta fundi mtaani akakufungia lakini mwisho wa siku ufatilie imekucost vip in term of time na pesa uone na ungefungiwa na kampuni ingekuaje? ambayo inakupa warranty ya mwaka mzima na free service mwaka mzima plus consultation sidhani kama fundi wa mtaan anaweza kuoffer vyote hivyo.Ahsante