Felix Mwinami
Member
- Aug 12, 2019
- 24
- 17
Watu mnatapeliwa sana na umeme wa SolarWakuu mimi nina solar ya 160W chloride betri N100. Natumia taa 12 na tv inch 15 cha ajabu nikiangalia tv masaa 3 mfululizo tv inaniandikia no signal. Je tatizo ni betri kuisha nguvu au ni dish?
je una charge controller ?betri kuisha nguvu
Duh aise usiseme hivyo basi, huku umeme hamna nduguNani alikwambia utumie umeme wa Solar,
Hakuna umeme wa TANESCO?
Unaweza kuwa sahihi siyo kwa mbungi hii ninayopataWatu mnatapeliwa sana na umeme wa Solar
Nitafanya hivyo mkuu, weka namba nikuchekiPata fundi Mzuri akushauri . Karibu Nyegezi Solar
shukrani sana kakaKing'amuzie Huwa kina chemka na kashindwa kukontrolt moto mara nyingi ving'amuzit vya DStv ndioe TATIZO!
Kwenye king'amuzi tumia invertor halafu tv tumia direct !!
Jaribu hiyo ita work out iliwahi nisumbua Sana tena wakati wa JUA kali kwa Sana!!