Umeme wa uhakika hadi vijijini

Umeme wa uhakika hadi vijijini

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Waziri wa Nishati January Makamba amesema, hali ya miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme imeendelea kuimarika na kuwezesha upatikanaji umeme wa uhakika.

Kutokana na kuboleshwa kwa miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme, Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limefanikiwa kuwaunganishia wateja wapya 331,034 ndani ya miezi 6 kati ya Julai 2022 hadi Desemba 2022. Sawa na 166% ya lengo la kuunganisha wateja wapya 200,000 katika kipindi hicho

Hii imekua na faida zaidi kwa wakazi wa vijijini maana wameanza kufaidika na fursa nyingi zitokanazo na umeme hivyo kasi hii ya kusambaza umeme inaunga mkono lengo la Rais Samia Suluhu la kutengeneza mazingira wezeshi kwa vijana kujiajiri, kupitia uwepo wa umeme wa uhakika vijana wengi wamejiajiri
 
55a05fb5-f525-48e4-8074-02649aa66e51.jpg
 
Back
Top Bottom