blessed chiqqah
Senior Member
- May 19, 2024
- 105
- 291
Au mwamba anaitwa CovaxAsiione Natafuta Ajira hii 😀
ndio dear😊Mbona hujaweka namba hizo hela tunakutumia pm au?
😂😂😂kama huna kakope. kopa hata pesax kenge wew
watapita kama hawaoniKiti cha mbele hapa nikisubiri povu
Namba 2 kashafungulia wanakuja usiondoke wapo kwenye kulewa wakishaibiwa na huko ulevini utawaona hapa na midomo yao mirefu km kama barabara za mwendokasiwatapita kama hawaoni
Wee😳 sema kweli?Niliwahi kusikia katika mahusiano au hata ndoa, wapenzi wanaibiana nyota, bahati.. kupitia pesa n.k.
ndio wala hujakoseaNiliwahi kusikia katika mahusiano au hata ndoa, wapenzi wanaibiana nyota, bahati.. kupitia pesa n.k.