Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

Nimemsave kwa jina la kike ili hata kidudumtu yeyote akishika simu yangu, asiijue namba ya my Love
 
nimemsave INCHARGE
sababu ndo incharge kwa sasa make tukiachana huwa naedit namba bali jina la incharge linabak pale pale. km ilivo kwa mwalimu mkuu,akihama cheo hubaki pale pale!
 
Jina lake halisi, sababu i cal him by that.
 
nimemsave INCHARGE
sababu ndo incharge kwa sasa make tukiachana huwa naedit namba bali jina la incharge linabak pale pale. km ilivo kwa mwalimu mkuu,akihama cheo hubaki pale pale! so nikimpa mwingine ndo huwa incharge kwa muda huo . . .
 
jina lake la ukoo coz baada ya miaka kadhaa ya ndoa tuko kikazi zaidi
 
Kuna
Mmoja kamsave mpz wake wa kiume " vocha dar" lol
 
heheeeeeeee jina lake latosha ila mie mwenzangu mesave soulmate tehtehteh mapenz haya
 
Liberto.....jina lake halisi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…