Umemtambua nani pichani?

Umemtambua nani pichani?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hawa ni wanandinga wastaafu, kwasasa wamehamia kwenye mabonanza, je unamfahamu nani hapo?
Adjustments.JPG
 
Mbona wamestaafu wakiwa wadogo hivyo? Hawajafikia umri wa Zlatan Ibrahimovic wa sasa wala umri aliostaafia soka Madaraka Suleimani.

Wanatia huruma kweli. Pole yao. I wish there was a third golden chance for them labda hiyo wangeitumia vizuri (baada ya kijifunza maisha ya msoto).
 
Back
Top Bottom