Umemuelewaje Mwamvita Makamba?

Umemuelewaje Mwamvita Makamba?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Hili dongo limeelekezwa upande upi?
IMG_3676.jpeg
 
Ujumbe umejaa hasira,dharau,na kujiona wao ndo wenye hii Nchi,mosi kamnanga mama kuwa hatoshi kugombea ukuu wa Nchi,anaefaa ni kakake,pili kawadharau sana wavaaji wa hayo mabango ya ccm ,yakuwa wao bado ni mpyaaaa huku wengine walishatupa kitambo
 
Daah
Hebu fikiria huyu mtoto hautamwona unaposubiria mwendokasi wala hutampakia kwenye bodaboda, au kukutana nae uwanja wa karume wakati unachagulaga kamwe....
Umewaza mbali ila Hawa Kuna wakati wanataka kutest shida zikoje basi utakutana nae kote huko lakini pia maisha hubadilika japo kidogo.
Kuna siku Vannesa anahojiwa na salama akiwa na wale wasela wake salama akamwambia Vanessa mi na na Muba tumesona kayumba we umesomea wapi primary,Vanessa akajibu "mna bahati kusoma shule Moja na kufanya kazi pamoja"
 
Kwa sisi wapika majungu wa ccm tunaweza kusema hilo ni dongo kwa mama yetu Samia.
 
Kuna siku Vannesa anahojiwa na salama akiwa na wale wasela wake salama akamwambia Vanessa mi na na Muba tumesona kayumba we umesomea wapi primary,Vanessa akajibu "mna bahati kusoma shule Moja na kufanya kazi pamoja"
Alijibu kama Zero wa enzi za gazeti la Mtanzania😅
 
She means nothing other than "time flies", "akiba haiozi", "kimfaacho mtu chake" etc...

Sio kila mambo ni kuwaza kisiasa tu
 
Wee lakini umeshaona nyash ya pundamilia? Ipo sexy kinomaaa sema tuu ndio hivyo mali ya serikali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sijaona mnyama aliyejazika kama yule mwana wane
 
Back
Top Bottom