Umemwaga magoli mangapi kuelekea 2011??

Umemwaga magoli mangapi kuelekea 2011??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Haya wapendwa namalizia na hme work hiyo mpaka jan 4 nipate jibu
je inajaza ndo??nisiwape majibu
HAPPY NEW YR
 
Pdiddy! Mi sikumbuki vizuri ila Hebu fanya hesabu hii
3x1x4 + 6x1x2 + 1x1x1 = Total
Total x 4 = 4(total)
4(tatal) 52 = Idadi ya magoli ya kichwa
 
Haya wapendwa namalizia na hme work hiyo mpaka jan 4 nipate jibu
je inajaza ndo??nisiwape majibu
HAPPY NEW YR

Maswali mengine ni rahisi sana, lakini kuyajibu ni magumu!
Mkuu magoli yanahesabika tu na hayawezi kujaza ndoo.
 
Bado mwaka haujaisha subiri 2malizie 2kupe idadi kamili coz bado ya kufungia mwaka!!!

Haya wapendwa namalizia na hme work hiyo mpaka jan 4 nipate jibu
je inajaza ndo??nisiwape majibu
HAPPY NEW YR
 
Bado mwaka haujaisha subiri 2malizie 2kupe idadi kamili coz bado ya kufungia mwaka!!!

mmh mbona wengine tuko likizo mpaka mwakani haya usisahau kutupa hesabu zetu
 
YA NJE AU YA NDANI???:A S-alert1:

aaaaahhhhhhhh mmmmh itategemea unaanza na RICHMOND-DOWANS or VVS
ni jumla ya nje na ndanii mpwa...na wewe ni mpenzi wa ndani..maana nina rafiki yangu huwa
anamwagaga la kwanza nje alafu yanayofatia ndani ati aabaada ya la kwanza kunakuwa na mvua
rasharasha yale mambo yetu kuhistamili ngumu ..lohh dunia
 
Back
Top Bottom