Umeniita tu Bulls Park

Umeniita tu Bulls Park

Sicolate

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
243
Reaction score
342
Kama kawaida ya wale wategemea Boom!Umejipanga,umeniita tu weekend my njoo tule nakuja na first 5 na substitution(Kwa sie wapenzi wa basketball)!Jasho lazima likutoke baada ya Bili kuletwa
f78ee79e-7fc3-4823-9880-75e9287c94a0.jpg
 
Dadekii waambie waagize wanachokitaka tena wasiwe na wasiwasi.Baada ya hapo jipigishe simu au nenda washroom pitia mlango wa nyuma sepaaaa!!!
Zima na simu na ikiwezekana toa betri kabisaaa
 
Hapo ni kuharibu mbona mapema tu kikao kinahairishwa,
Siwezi kuwa msitaarabu kwa mtu ambaye hakunifanyia ustaarabu wa kunitaarifu kuwa anakuja na timu,,
 
Hapo ndio unahitajika kuonesha uanaume wako... hahah jamaa kaishiwa raha kabisa
 
Bila shaka mleta mada ni mwanafunzi either wa udsm au ardhi maana bulls park ndio kiwanja chao pendwa.
 
Back
Top Bottom