Bila shaka hyo ni jpili kwenye karaokeKama kawaida ya wale wategemea Boom!Umejipanga,umeniita tu weekend my njoo tule nakuja na first 5 na substitution(Kwa sie wapenzi wa basketball)!Jasho lazima likutoke baada ya Bili kuletwa View attachment 722643
Ilinikuta hii scenario, ila alinishtua mapema na nilikua vizur... [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama kawaida ya wale wategemea Boom!Umejipanga,umeniita tu weekend my njoo tule nakuja na first 5 na substitution(Kwa sie wapenzi wa basketball)!Jasho lazima likutoke baada ya Bili kuletwa View attachment 722643