Umeniteka kwako sijiwezi nyang'anyang'a

Usiniambie mamy anaonekana muhandsome maana hilo jina na avatar vinatisha bhn nichombeze basi na mm tugawane si unajua mambo ya mahandsome mm ndo ugonjwaa wanguuuu alafu awe na kamdomo katamu ni balaaaaaa
Oooh mtafute tu kama mtamu urudi utuambie eee
 
Hahahaah kwa hiyo ben10 na mario wana utofuti gani
Mario ni mwanaume anaye lelewa na mwanamke lakin ben 10 ni kivulana chenye mwanamke anaye kizid umri au miaka

Mimi sio mario maana silelewi lakin nina baby wangu mbiti ananizida miaka maana mimi nina miaka 20 lakin yeye ana miaka 46
 
Sawa shemeji yangu mi ndio maana nakukubali sana
 
Kama hauna wivu tugawane

Utanitoa rohoo kwa wivuuu jaman

Huyu handsome kama yupo hapa apite jaman mm nipo tayar kwa mitala

Mama sabrina nakuomba kizur kula na mwenzio jaman why?
Hapana kabisa huyu wangu mimi tu we nenda kwa Gudume anakufaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…