Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio



Kaka Umeongea Ukweli Japo wagumu kukubali ila naamini kuna waliojichunguza na kuangalia historia yao Mpaka wameinama na kusema watamwambia nini Mungu.....

Mkuu Ukweli siku Zote unakuwa Mgumu kukubalika ila Mungu Akubariki watafumbuka tu... Tuendelee kujifunza
 
Amen. Mkuu. Tuendelee kutoa elimu hii mpk kieleweke
 


Wakuu walio wengi humu JF wanaujua ukweli ila kwakuwa Ukiambiwa Ukweli huwa ni Dhambi kila kukicha tumekuwa tukipinga na Kubisha hasa kwa kufikiria asemaye amatendwa au ameguswa kwa asilimia kubwa.

Tuseme Ukweli Yatokeayo kwenye Mjumuiko wa Viumbe sisi iwe Vyuoni au kwenye Mikutano tu Mashahidi ya tunayoyaona. Tuache Ubishi chakufanya tuangalie wapi pakusaidia.

Kwakweli Wadada wengi wanatumia Miili yao kama Sehemu ya Kujipatia Kipato na Mwisho wa Siku wanakuja Kushtuka tayari wameshatenda Mambo ambayo hata Wazazi wao Hawajawahi kuyatenda.

Siku Zote Ukimuona Mdada Ameanza Kupanga Nyumba Basi Ujue huyo Ngumu kumeza..

Acha tuone Wabishi Feminism.
 
Umelenga mle mle
 
Ni kujaribu kutia chumvi ktk mto eti maji ya mto nayo yaonekane yana Chumvi kama ya bahari. Wanawake ndiyo Victims wakubwa wa ngono. Kubalini hoja hii ili hizo nyapu mzifunge speed governor
Kwani inasoma kilometers... Kaombe tu msamaha kwa aliekutosa walau akufikirie
 
Mtu kwenu Dar umepata kazi mwanza,utajenga au utapanga?!
 
Mtu kwenu Dar umepata kazi mwanza,utajenga au utapanga?!


Mkuu Vipi kwa wale kwao ni dar hiyo hiyo lakini wamepanga kuanzia Chuo hadi Kazi? Au wale Wameajiriwa Maeneo ya Wazazi wao?

Tumekuwa tukifunzwa kuwa Mwanamke atatoka kwao Kwa kufanyiwa Sendoff, Je Hawa wanao Hama Makwao Je tuwasemeje na Ndio hao ninao walenga haswa?
 
Unadhani wazazi wake wajinga kuruhusu binti yuko Dar afu anapanga?? Do you think you care more than her parents??!
Kutakua na sababu labda ugumu wa maisha,malengo ya kifamilia, umbali wa nyumbani na kazini nk..huwezi jua
 
Unadhani wazazi wake wajinga kuruhusu binti yuko Dar afu anapanga?? Do you think you care more than her parents??!
Kutakua na sababu labda ugumu wa maisha,malengo ya kifamilia, umbali wa nyumbani na kazini nk..huwezi jua
Wakuu nilishafanya kautafiki kwa nini wanapanga walio wengi maamuzi yao yanakinzana na wazazi wao hasa upande wa Baba, Wazazi upande wa Mama huwa hawakatai.... Sasa hap

Kingine walio wengi ni wavivu wakufanya kazi za Majumbani ........... acha niishie hapo
 
Kiukweli uchi wa mwanamke haupaswi kuona na mtu mwingine zaidi ya atakayemuoa. Ndo mana mtoto wa kike akiamka tu huvishwa chupi, ila wa kiume anaweza asivalishwe siku nzima.
 
Are u sure mkuu? Isije kuwa ilikuwa bandia? Maana siku hizi kuna virginity za maji ya ndimu na mkojo wa tembo.

Otherwise, you are so lucky.
Sure mkuu, she was God fearing woman.
 
Ha ha ha ha. Imeibid nicheke. Maana,kwahiyo unashauri wake under 18?? Utaambiwa hawa balehe huwa zinawasumbua hawajamaliza utoto. Ulitaka 20's b4 hiyo 25 utaambiwa hawa watoto wa chuo wasumbufu sana.
Jamani eeh,ndoa ni majaaliwa atakae pata kapata ,atakae kisa kosa kakosa.
Makosa yako na bahati yako iliyogeuka na kuwa mbaya basi usiwalishe sumu watu kwa mengine mazuri wanayoyaona kutoka kwa watu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…