Umeona Rais Samia anapika kwa nishati safi?

Inatuhusu nn watz wa kawaida? Jpm aliacha bei ya gas ikiwa 17500 kwa sasa 23000,yupi bora?
Uyo ndo bure kabisa wote hakuna afadhali gesi haikuwahbkushuka pamoja na kukaa kulalamika wanyonge wasionewe.
 
KWAHIYO KAMA TAIFA TUNAONA NISHATI SAFI NI GESI?
 
Dawa ni kushusha bei ya gesi na umeme kwa 50%.
 
Hoja kuntu ni kupunguza Bei ya umeme na gesi, ndipo ninaamini Hilo litatekelezeka kwa ufanisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…