Habari za saivi wana-JF,
Mapenzi yana mambo mengi sana
Wengine wanafuraha na wanaenjoy mapenzi na mahaba.
Wengine hatujui siku wala saa tutaachwa.
Wengine mnatumiana / mnanuliana zawadi kunogesha penzi.
Wengine huku tunatumiana majini kuuana.
Mafungu mengine buana yasikie kwa wengine shenzi kabisa.