Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
kisulisuliWakuu kwema?
Mwaka mpya huo unajongea, umepanga kuupokeaje?
Baadhi huwa kwenye viwanja wakiupokea mwaka kwa shangwe, kwengine wakiukaribisha mwaka kwa maombi kwenye mikesha ya dini, wengine wakiwa nyumbani tu wenyewe kwenye utulivu na kutafakari wanayoyaacha na watakayoyaribisha, nk.
Wewe umepanga kupokea Mwaka 2024 kwa style gani?
UniiteNitakua kwenye ule uzi wa usiku wa manane
Aamin aamin!Kumshukuru Mungu tu Kwa yote!
Na kumuomba afya na anisaidie huko tunakoelekea!
Mambo ni mengi ......
Mmh acha banaHaving fun with Smart911
Hizo sio Shida zetu shoo 🤠! Ni kuupokea mwaka mpyaa mama Mtumishi!Mmh acha bana
Na huku mtaanza malumbano ujue🤭🤭🏃