nimekupa fact Unaanzaa kukaguaa maandishi! dalili za kutokwa na povuu hizoo! Kojoa ukalale
KUANDIKA KWEnyewe hujui!!,miepec ndio nini??, utafit ndio nini? ? mnavotolewa ndio nini? ?, c YA IFM NI D/E YA MUCCoBS(SUA), B ya IFM NI C YA MUCCoBS(SUA)., C YA MUCCoBS 50%
Huyo hajsom ndo maana anaiponda ifm.wameweka average ya 40% coz wanajua ugumu wa masomo yao,kuwekewa average kubwa cjui 50% ni sababu ya urahc wa masomo ya muccobs,we ushasikia kuna chuo zaid ya ifm ambacho mwanafunz akifel core study anarudia mwaka?! kama mi ntakufanyia mpango uje ifm afu 2one kama semester itapita bla we kudisco au kurudia mwaka,acha u....s...n...g...e
nimekupa fact Unaanzaa kukaguaa maandishi! dalili za kutokwa na povuu hizoo! Kojoa ukalale
Unapapenda ifm eeh,kwa majibu ya kilev hvo cdhan kama patakufaa,maana huelewek wenzio 2najbu kwa fact we unaropoka,unanikumbusha kaul ya mfa maj haach......,unaacha kujbu maada unakagua wap pamekosewa,kakojoe ulale ili ukue na fikra zako zpanuke
Huyu sijui sheria gani anasoma Ushirika. Ni hewa tupu. Hana hoja ni kelele.
Nimemwambia anitajie walimu wake wenye PhD, nashangaa anakuja na list ya watu ninaowajua vizuri wenye Master's Degree na anawaita Dr. na Prof.
And he seems happy about it! Shame.
Sikuwa na lengo la kumwonyesha picha sawia ya Ushirika (asiyoijua yeye) ila hii tabia ya kukosoa wanakosoma wenzake imenifanya nimdokeze hilo kwa sasa.
huyu sijui sheria gani anasoma ushirika. Ni hewa tupu. Hana hoja ni kelele.
Nimemwambia anitajie walimu wake wenye phd, nashangaa anakuja na list ya watu ninaowajua vizuri wenye master's degree na anawaita dr. Na prof.
And he seems happy about it! Shame.
Sikuwa na lengo la kumwonyesha picha sawia ya ushirika (asiyoijua yeye) ila hii tabia ya kukosoa wanakosoma wenzake imenifanya nimdokeze hilo kwa sasa.
dogo ameanza kuchemka!!anabishana ujinga et now anaangalia maandishi..huyu chz nahic hata kwa wazazi wake ameshashinda!!kaka chromium achana nae hajitambui huyu mwehu..ushamba unamzingua!!ametoka maporini huko now amekuja mjini kusoma!!hahahaaaa..
MALIZIA TUU MTU WA TAASISI!KUANDIKA KWENYEWE HUJUI! , MASOMO RAHISI EEGH?? HEBU NITAJIE MASOMO MAGUMU IFM?? , C YA Ifm ni d/e ya MUCCoBS ,
ni taasis ila ni taasis inayojtegemea na c taw la chuo fulan,unanichekesha ukitaja chuo chako lazima uandike sua (muccobs),hii inaonesha kua chuo chako cha ushirika ni tegemezi,karibu ifm taasis inayojtegemea,a very unique institute,teaching how to manage fund,we are dealing wit cash only en not fools like.....,over
Huyu sijui sheria gani anasoma Ushirika. Ni hewa tupu. Hana hoja ni kelele.
Nimemwambia anitajie walimu wake wenye PhD, nashangaa anakuja na list ya watu ninaowajua vizuri wenye Master's Degree na anawaita Dr. na Prof.
And he seems happy about it! Shame.
Sikuwa na lengo la kumwonyesha picha sawia ya Ushirika (asiyoijua yeye) ila hii tabia ya kukosoa wanakosoma wenzake imenifanya nimdokeze hilo kwa sasa.
KUANDIKA KWEnyewe hujui!!,, unajua weye kijana,si ndo ulivofundishwa matumizi
ya herufi kubwa na ndogo!!
eti "KWenyewe" hilo neno au majina ya mizizi ya huko kwenu?!
Sitakujibu tena. Kuna mengi usiyoyajua kama mwanafunzi. Ningekuelimisha kama ungeonyesha dalili za usomi. Wasomi hawatukani hovyo. Wasomi ni wajenzi wa hoja. Wasomi hawajisifii vyuo uchwara. Wasomi ni watulivu. Wasomi hawapalii ego kwa kuwakejeli wenzao. Wewe si mmoja wao. Ni kupoteza muda kujaribu kukugeuza.
Kila la heri.
KUANDIKA KWEnyewe hujui!!,, unajua weye kijana,si ndo ulivofundishwa matumizi
ya herufi kubwa na ndogo!!
eti "KWenyewe" hilo neno au majina ya mizizi ya huko kwenu?!
UNATAKA NINI SASA KUSEMA?
wewe mshamba tu..na elimu yako unaimalizia huko huko!!unafkr mjini utapata kazi wewe!!..chz mkubwa wewe!!..mombasa watakuoa dogo kwa shobo zako
hivi we umesoma wap? hata hujui matumizi ya herufi,Ona hyo " o" hapo kwenye muccobs,na hyo eeegh,ulikua unataka kuandika egg au,una hamu na mayai eeh,then unajua sehemu ya ku2mia qn mark wewe? et,HEBU NITAJIE MASOMO MAGUMU IFM?? yaan unalazimisha kuweka alama ya kuuliza sehemu isiyotakiwa,ulitakiwa kusema, "je ni masomo gani magumu ifm?" kajipange kijana,degree hakikufai kwa hali uliyonayo labda certificate.