So what?
mkuu Chromium ngoja tuachane nae! NB; hiyo law yenyewe amehamia huko huko chuoni alipelekwa pale muccobs course flan ya marketing, so naona alioonga ili akasome hiyo law..!! Ushahd tafuta thread kama hii humu humu kwenye jukwaa la elimu selection za mwakajana 2012/2013 za tcu zilivotokaa uone, sema natumia simu now siwez ku attach evidence!
ujinga huu unataka nini sasa??
Mi nimepangiwa Agriculture Engineering 'SUA'
Usiogope mwana,tukakomae tu.Tutakuwa wote Civil pale CoET.
mshindani wa kwanza huyo!ma gap yanaanza kk!
Fuatilia mabandiko yake utagundua huyu dogo ni mtumiaji mzuri wa nguvu kuliko akili. Hana hoja isipokuwa matusi na kejeli kwa anaohisi wamemzidi.
Guess what? Ni kuruta wa Polisi anayejiendeleza Ushirika. In other words ni Form Four aliyebangaiza kufikia aliko sasa. Kwake ni success. Tumwelewe.
Baada ya kushindwa kutetea chuo chake kani-PM (akidhani nitamweheshimu) kuwa kumbe ni Polisi anayejiendeleza.
No wonder he has the guts to compare his humble campus with prestigious campuses. Ushirika kwa Polisi ni mafanikio.
MUCCoBS NI CONSTITUENT COLLEGE YA SUA KWA HIYO Ni SUA!! je ARDHI NA SUA WAPI NI CHUOKIKUU??, ARDHI PENYEWE average40%, utafananisha na SUA(MUCCoBS) 50%?
ndo zake,hata me kuna cku liliniomba eti number zangu za simu,nikalipa nkijua kuwa ni listaarabu,kumbe lina mambo ya kitoto sana.mwishowe cku flan hv humu jf likan2mia pm lkanambia ujinga ujinga wake.nikalitukana,mpaka leo limeshika adabu na mie.toto jinga sana hilo.
Fuatilia mabandiko yake utagundua huyu dogo ni mtumiaji mzuri wa nguvu kuliko akili. Hana hoja isipokuwa matusi na kejeli kwa anaohisi wamemzidi.
Guess what? Ni kuruta wa Polisi anayejiendeleza Ushirika. In other words ni Form Four aliyebangaiza kufikia aliko sasa. Kwake ni success. Tumwelewe.
Baada ya kushindwa kutetea chuo chake kani-PM (akidhani nitamweheshimu) kuwa kumbe ni Polisi anayejiendeleza.
No wonder he has the guts to compare his humble campus with prestigious campuses. Ushirika kwa Polisi ni mafanikio.
WEEE MJINGA NI WEWE Iyo PM USINGEJIBU SIKUKULAZIMISHA KUJIBU
ndo zake,hata me kuna cku liliniomba eti number zangu za simu,nikalipa nkijua kuwa ni listaarabu,kumbe lina mambo ya kitoto sana.mwishowe cku flan hv humu jf likan2mia pm lkanambia ujinga ujinga wake.nikalitukana,mpaka leo limeshika adabu na mie.toto jinga sana hilo.
Div 1 form6 aipate hayawani huyo??thubutuuu..hio 3 tu..angekua na 1 acngesoma huko huyo pimbi..amekwenda huko kwa matokeo yake(sorry guys simaanishi kumdharau mtu..this is between me na huyu hayawani mpiga msuli)....halafu kumbe ni polisi??LOH....AROOO KAMATA MWIZI..I am very disappointed kujua najibizana na Polisi. Nguvu nyingi akili hazijai pishi. Halafu eti anadai alikuwa Special School? Akapata Daraja la I Form Six? Then akaenda CCP? Kweli JF imeingiliwa.
div 1 form6 aipate hayawani huyo??thubutuuu..hio 3 tu..angekua na 1 acngesoma huko huyo pimbi..amekwenda huko kwa matokeo yake(sorry guys simaanishi kumdharau mtu..this is between me na huyu hayawani mpiga msuli)....halafu kumbe ni polisi??loh....arooo kamata mwizi..

we bure kabisa you are not the man of reasoning,, inshort unapenda malumbano ya kijinga .. Na unaandika eti umesoma tabora boys ... Tafuta watoto wenzako wewe...
hivi wote wanoenda jwtz, police walifeli??
Fuatilia mabandiko yake utagundua huyu dogo ni mtumiaji mzuri wa nguvu kuliko akili. Hana hoja isipokuwa matusi na kejeli kwa anaohisi wamemzidi.
Guess what? Ni kuruta wa Polisi anayejiendeleza Ushirika. In other words ni Form Four aliyebangaiza kufikia aliko sasa. Kwake ni success. Tumwelewe.
Baada ya kushindwa kutetea chuo chake kani-PM (akidhani nitamweheshimu) kuwa kumbe ni Polisi anayejiendeleza.
No wonder he has the guts to compare his humble campus with prestigious campuses. Ushirika kwa Polisi ni mafanikio.
wanaopiga msuli wanapata dv 3!!! Labda unapiga msuli wa pwani!!