Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

dogo mm cwezi kufanya kazi ya kishenzi upolisi wewe??hakuna kazi ya kidhalili kama hio!!njaa tu zilikupeleka huko..utafanya wewe kipaji maalum..hahahaa

mimi ni superintendent of police babayako hata afanyeje hanipati
 
Dogo mm cwezi kufanya kazi ya kishenzi upolisi wewe??hakuna kazi ya kidhalili kama hio!!njaa tu zilikupeleka huko..utafanya wewe kipaji maalum..hahahaa

failure huyo angeenda chuo cha nani karesit mara 5
 
kimbilio la waliofeli ni____ na UPOLISIIII..! kilazaa uliyefel form ___ then ukaenda upolisi sasa hivi unajiendeleza kwenye lichuo la ushirikaaa unajiona mjanjaa! NB; unatudanganya kumbe mtu mwenyewe QT
 
ROMA HANA AKILI! WATU WANAPATA ONE WANACHUKUA Education, polisi wanaajiri form4,form6, certificate,diploma,&degree
 
kimbilio la waliofeli ni____ na UPOLISIIII..! kilazaa uliyefel form ___ then ukaenda upolisi sasa hivi unajiendeleza kwenye lichuo la ushirikaaa unajiona mjanjaa! NB; unatudanganya kumbe mtu mwenyewe QT

NIMEMALIZA FORMSIX TABORABOYS, NIAENDA POLICE NIKAANZA NA USTAFF SAJENTI, NIKAPANDA CHEO NIKAWA r.s.m(regiment sameja), then nyotamoja(nilienda kusomea)(assistant inspector ), then inspector of police(nyotambili), then nikaenda kusoma uafisa wa ngazi za juu yaani nyota tatu(assistant superintendent of police,kwa kiswahili mrakibu wa msaidizi wa jeshi la police)
 
dogo baba yangu usimseme kabisa coz ni land surveyor product ya ardhi university na mimi nafuata nyayo..so wewe jidanganye na huo upolisi wako njaa!!..siri imefichukaaa!!..dogo ulifeli maisha ndio ukaangalia plan B kwenda upolisi..!!
 
kimbilio la waliofeli ni____ na UPOLISIIII..! kilazaa uliyefel form ___ then ukaenda upolisi sasa hivi unajiendeleza kwenye lichuo la ushirikaaa unajiona mjanjaa! NB; unatudanganya kumbe mtu mwenyewe QT

Nimesikitika kujibizana na Polisi wa QT nikidhani ni mwanafunzi wa Elimu ya Juu. No wonder hana hoja zaidi ya matusi
 
Huna lolote usituongopee..wewe ni failure tu..mtu mwenye akili zake timamu hamalizi form6 akafaulu then akaenda upolisi,.tupe kituo chako cha kazi tuthibitishe!!..upolisi hata ukiwa na nyota kumi unakua maskini 2 unashindwa mshahara na mtu wa diploma pale ifm..katlesi wewe aka khadija kopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…