Hahahahaaa...mm napita tu atajibu mwenyewe mpiga msuli..mm nilikua cjui kama ana tabia hii
Dogo sijui katokea wapi .. na anadanganya watu amesoma Tabora Boys mwaka jana... Wakati aliyeenda MuCobs mwaka jana kutoka Tabora ni mmoja tu,, afu hana mambo ya kitoto kama yake
chezea kujificha nyuma ya keyboard.....mtu ndo anaonesha true colours zake....
wale ni WAKUFUNZI kaka... mwalimu anakulazimisha kuelewa hata kwa viboko.... LECTURER anakuongoza ​where to get what..
nice argumentUkikwepa kuwaita walimu basi waite wahadhiri.
Wakufunzi=Tutors
Wahadhiri=Lecturers
Lakini hawa wote ni walimu=Educators,Teachers
GEOMATIC a.ka. wasaka nyoka NDO BONGE LA KOZI AS LAND SURVEYOR KAZI YOYOTE YA UJENZI LAzima ipitie kwanza na surveyor, dogo kapige shule ila ukifika mwaka wa tatu acha tamaa ya hela hadi umalize chuonakuamini kaka!!nimeziona product nyingi za ardhi zinavyopeta mtaani..course zake bado zina market sana..mm nakwenda kupiga geomatics mungu akinijaalia uhai na uzima!!..
GEOMATIC a.ka. wasaka nyoka NDO BONGE LA KOZI AS LAND SURVEYOR KAZI YOYOTE YA UJENZI LAzima ipitie kwanza na surveyor, dogo kapige shule ila ukifika mwaka wa tatu acha tamaa ya hela hadi umalize chuo