majanga, hawa airel na tcu
Hii nchi mkuu baada ya kuanza kukabiri unga watu wanatafuta njia za kula kinamna. TCU inaacha kutumia website yao ambayo ina bandwidth kubwa wanawapa airtel ambao jam kwao ndo kila kitu - matokeo mtu akibofya hiyo *150*44# anapata "external application down" pengine azikiri uchi!!
Akaunti za applicants ndani ya TCU zimevamiwa na matangazo ya porn!! - mambo gani haya - tutaamini yanayojili hivi sasa kweli!!
Ikiandika hvyo bonyeza 0 alafu weka reply
mtan ilikuwa chaguo la ngap hiyo! Ndabooo
karibu ardhi...... Especial school of sestme binafsi ardhi university- bachlr of science in building economics(quantity surveyor in profession)
Kakaze dogo upate gpa ya maana course yako ina msoto huku kwenye soko la ajira. Anza kujitetea kwa kutengeza gpa
pamoja mtan! Ili mrad sote tupo jijin(dar)
mH porn mbona mi sijawahi ona ach uzushi