AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
naomb mtu anitazamiejina langu kwa number hii S0264/0004/2008
pamoja sana jembe! Karibu ARU
airtel sasa ipo shwari lkn my admission mbona haipo!
aliyechaguliwa MUHAS aropoke nianze kumfanyia orientation....
Ipi tena ? Orientation ?
Kaka Mdcourse gani...???
aliyechaguliwa MUHAS aropoke nianze kumfanyia orientation....
Twende kazi mkuu
mizinguo imeanza tena hebu angalieni tena kupitia airtel mtakayo yakuta cri yenu saiv hakuna option ya admission kweli tcu hawaeleweki
altayas k2 gan anaenda kupigaa!?
Hivi Ushirika yenye walimu wenye elimu ya kati inaweza kutoa Mwanasheria atakayeelewa kesi yoyote achilia mbali kumtetea yeyote kortini? Hapo hata upige msuli ni bila bila
Duce With edctn
Bsc.Civil Engineering,UDSM.