Umepata hii SMS?

Umepata hii SMS?

Twilumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
12,576
Reaction score
14,522
Nimepokea sms hii leo asubuhi,
Je kuna ukweli au ndo yale mambo yakusahaulishana yanayoendelea mtwara?

sms said:
Naomba uwe makini kupokea simu. Usipokee endapo utaona namba ngeni usiyoijua hasa hii 0800226655 kuanzia leo hadi tareh 24.08.2013 kwan freemason wanatoa kafara kwa kutumia saut endapo utapokea simu yao.Siyo utani wajulishe na wengine uwapendao.
 
Nimeipata, nikaipotezea mbali kwa 7bu inahusisha miungu. Katika vitu ambavyo nimepishana navyo hapa duniani ni pamoja na kuogopa miungu., hata iwe usiku au mchana huwa miungu siiogopi
 
Naomba uwe makini isipokee simu yenye namba hii 0768360497 usidharau ni ukweli kabisa ukitaka kuhakiki angalia kwenye M-Pesa weka kiwango ambacho kimezidi salio ulilonalo-Huu ujumbe nimeupata asubuhi nimehakiki jina la usajiri ni Freemasoni Sheteni.
 
heri simu yangu haina ussd
 
hata mimi nimeipotezea tu
nimezipata sana hizo sms nyingi kutoka kwa watu mbalimbali
 
Back
Top Bottom