sms said:Naomba uwe makini kupokea simu. Usipokee endapo utaona namba ngeni usiyoijua hasa hii 0800226655 kuanzia leo hadi tareh 24.08.2013 kwan freemason wanatoa kafara kwa kutumia saut endapo utapokea simu yao.Siyo utani wajulishe na wengine uwapendao.
Nimepokea sms hii leo asubuhi,
Je kuna ukweli au ndo yale mambo yakusahaulishana yanayoendelea mtwara?
Nikimwona mtu anaogopa freemason napata tabu na uwezo wake wa kufikiri!
Ni schemes za makampuni ya simu kutengeneza hela.
Naomba uwe makini isipokee simu yenye namba hii 0768360497 usidharau ni ukweli kabisa ukitaka kuhakiki angalia kwenye M-Pesa weka kiwango ambacho kimezidi salio ulilonalo-Huu ujumbe nimeupata asubuhi nimehakiki jina la usajiri ni Freemasoni Sheteni.