Umepitiwa/umepitia wangapi mpaka sasa na una mpango wa kumaliza na wangapi??

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,006
Hope swali umelielewa tangu uanze uhusiano umepitiwa na wangapi we binti na mpka
sasa una mpangao mpaka uakae na wako wa maisha unamaliza na wangapi
swali hilo na kwa wanaume pia ni vyema tukaangalia uwingiliano huu mwisho wake
ni wangapi ili yule aliedouble ashtuke kumbe alitakiwa kumaliza tangu mwaka juzi
happy monday
 
tatizo la kunywa gongo halafu kuchanganya na bangi, madhara yake ndo haya!
 
Vipi unafanya research? si ungetengeneza questionaire...
 
unamaanisha kupitiwa na pepo mchafu wa ngono..?mi sijawahi lol!
 
Mimi sijawahi kupitia...bado natafuta
 
Hadi nau shuttle moja imejaa nau nataka watakaocmama katikat kwnye shuttle! Lol!
 
Tuanze na we mwenyewe, umepitiwa na wangap na unampango gan au usha expire? swali lako linatoa watu povu, sijui ni utafit au?
 
Hit n run + ndoto? ...sikumbuki...
 

Kuumwa sio lazima ulazwe hospitali. Wewe unaumwa sana tena sana. Wahi dawa!!!!
 
Kwa sisi madj kila unapotoka wimbo mpya lazima tumpitie gal mmoja. Hebu jiulize kuna nyimbo zilizoitwa mpya ngapi?
 
Kaka haka ka uzi kama vile kanadhalilisha watu, manake walio wengi humu wakitoa data za ukweli kabisa itakuwa noma.

Labda tuambie ww kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…