MmmmmhhNajua kila kitu hadi namba yako au, Naomba uniwekee namba yako ya MPESA hapa, niweke hapa nita save kwenye simu yangu.
weka namba zako hapa basi nasubiri ujueMmmmmhh
Kuna mtu kiutani utani alikuwa na ugomvi na mtu wake akamjibu kwa kutaja kapeace hehehehehe kumbe demu yumo humu wacha kinuke wacha aje pm kuniporomoshea mitusi mizitomizito akaomba nimtumie pic nikamtumia isiyo yangu na isiyovutia kwa dharau akajibu man wangu hawezi penda mtu wa iv yawezekana ulikuwa utani, akili zetu tunazijua wenyewe uzuri yaliisha salamaKapeace!πππ
Ukimaanisha anakuzibua wewe choo au?Nimemsevu
Mzibua vyoo
Sema mkuu huenda ni mbadala mzuri kwa wengineAisee mimi siwezi kusema maana wife akiona nimekwisha
Just joking Kapeace na humu sina mtu pliz changamkia fursa nikusave.Kuna mtu kiutani utani alikuwa na ugomvi na mtu wake akamjibu kwa kutaja kapeace hehehehehe kumbe demu yumo humu wacha kinuke wacha aje pm kuniporomoshea mitusi mizitomizito akaomba nimtumie pic nikamtumia isiyo yangu na isiyovutia kwa dharau akajibu man wangu hawezi penda mtu wa iv yawezekana ulikuwa utani, akili zetu tunazijua wenyewe uzuri yaliisha salama
Hahahahah hii kiboko
Hahaha ngoja nichangamke aisee fursa adimu hizo siku hiziJust joking Kapeace na humu sina mtu pliz changamkia fursa nikusave.
Tena hii ni permanent and pensionableHahaha ngoja nichangamke aisee fursa adimu hizo siku hizi
[emoji6] [emoji6] [emoji6] una maneno matamu wewe iwe kweli tuTena hii ni permanent and pensionable